Duration 10:57

BREAKING NEWS: MAMIA YA WANACHAMA NA VIONGOZI WAKUBWA WA ACT WAZALENDO WAJIUNGA NA NCCR-Mageuzi DAR

180 watched
0
1
Published 21 Aug 2020

Mamia ya wanachama na Viongozi wa ACT Wazalendo katika kata za Jimbo la Mbagala wakiongozwa na aliyekuwa mtia wa Ubunge kupitia Chama cha ACT Wazalendo ndugu Shaaban Nkumbi, wamekihama chama hicho na kujiunga na NCCR-Mageuzi leo Agosti 21, 2020.

Category

Show more

Comments - 1