Duration 10:55

Maskini Harmorapa Akilia Hadharani Kaibiwa hela milioni 5 polisi wamkamata boss wake afunguka

43 157 watched
0
310
Published 8 May 2021

Category

Show more

Comments - 160
  • @
    @binarytanzania3 years ago Haijalishi kabisa harmolapa ana makosa au hana ila ninachojua kitendo cha kumteka mtu Kumpeleka kwenu ni unyama sana. Wakamatwe hao wanaojiita wauni 11
  • @
    @firdaussheikh48173 years ago Mungu amekuumba na atakuokoa kaka☹☹☹☹☹☹ 6
  • @
    @sadiurembo27123 years ago Harmorapa kakosea lakini waliomteka wamekosea zaidi polisi msilifumbie macho hili Jambo na mwandishi akamatwe 2
  • @
    @nahyialetomia92843 years ago Baba Arianna ashikwe kwa kumteka Harmorapa 9
  • @
    @juniormgema25243 years ago Ina maana WCB sasaiv wanahusika na waandishi kuteka wasanii
  • @
    @saidthuwein79503 years ago Mkali wenu fala sana anajikaza kucheka 5
  • @
    @aishayusuf68623 years ago Pole jikaze kk we mtt wakiume saw alafu kumbe umefunga samehe tu
  • @
    @magrethmbuma30453 years ago Hata kama ni uongo acha wakome kiukweeelii wamemnyanyasa........ 1
  • @
    @rashidyally87153 years ago Nyie mafala nyinyi polisi wamemkamata Nani Sasa mbona mnaandika Mambo vaisi vesa
  • @
    @mwanaimarashid79973 years ago Tumewachoka mwana kulitafuta mwana kulipata ana udogo gani sialioa huyo kalimeni .
  • @
    @sanisani52663 years ago Atasema mwandishi siinaonekana poch aliishika yule mwandishi nailikuwa na shingap
  • @
    @ilynpayne74913 years ago Kiki mbaya kwahiyo harmorapa ame pata bidy guard
  • @
    @__iizu76773 years ago Wew saiz wakikukamata wanakupaka mafuta maelezo yako ushajifunga mwenyew ..Uyo milion hapo Mmh 😌 3
  • @
    @gosbertmuta54213 years ago Wanojua walet inaweza kukaa bei gan mwisho
  • @
    @husnamfuko61363 years ago Ao mabodgad wa nafanya nini apo... Mbona lenye we aliongei lina ramba midomo tu.... Mtu mwenyewe ulikuwa unaish radwa uswahilini. Umenikera sana 4
  • @
    @lafifakimbenegele55993 years ago Uwafanyie wenzio ubaya hili iweje mfyuu cjakupenda harmorapa sio tabia nzur
  • @
    @thebosslady45973 years ago We akida ww mtoto mdogo anampa mtu mimba mbona unang'ang'ania kuwa harmorapa ni mtoto kufuta siri si pressure zake na ujinga wake
  • @
    @jacklinegeorge52203 years ago Hao mabodyguard walikuwa wap jana achen ukuda 5
  • @
    @rukiammangammanga11663 years ago 😁 Mkaliwaoo a nataka kucheka anajikazaaa
  • @
    @kephajr14783 years ago Kwan hamna DNA ? Ikibainik mtot n wake hao wahun wakamatwe na hela Zak wamludishie
  • @
    @chiefndatu18953 years ago Huyu mwandish wa wasaf wangemuwajibisha facta kabla tcra hawajafungia kwa mara ya pili...izi ni njaa tu na kukosa taaluma ya kazi!!!
  • @
    @alfanm.82213 years ago Hapa ingelikuwa mm ndo wangelijua maana ningetafuta mbinu ya kujikata kata kutumia nyembe alafu ilo kanzu ndo wafutia nayo damu kisha unakwenda ku repoti polisini kuwatia adabu.
  • @
    @mariamibrahim31623 years ago Milioni tank za wapi anaenda kiki acha yamkute 1
  • @
    @barnabapaulo16213 years ago Amo rapa we ni msenge unakubali VP kutekwa na kijana mwezako
  • @
    @jenifaranthony8693 years ago Fara sana ww mvunjaji mausiano yawatu usijitokeze pindi chamatunzo leo kazaliwa mtoto usiongee kabla ujamuona uje uongee ulipo muona mtoto unataka kuchonganisha sula mbaya Kama unakunya fala ww koma tabia zako zakisenge chamsingi mkapime d,n,a ... 1
  • @
    @thebosslady45973 years ago ulivyo fanya co vzur walivyo kupokonya wallet ilikuwa na shingap unavuta machoz ya bure usikute kulia nako n kiki
  • @
    @modrickgobe24203 years ago Msenge kwakiki eti miliani tano mtu mwenye choka mbaya2 wew fala 2
  • @
    @mattanofficemusc35353 years ago Kwani kiki zenyewe za mwaka huu zinasemaje mtu kuibiwa m5 au😎😎😎
  • @
    @allychoum98063 years ago Jamaa fisadi uyooo. Amelaaniwa haswaa. Uongeaji wake tu unajuulisha kuwa muongo.
    Mshenzi mkubwa. Atafirwa
  • @
    @mwidinijuma82143 years ago Harmorapa na wewe umezidi kutafuta Kiki mwana kulitafuta mwana kulipata
  • @
    @sharinv88643 years ago Huyu mzee aache uongo.harmorapa kiki zitakutokea mapuani bro fanya kazi kiki wachia wenyewe bro. 2
  • @
    @shinshi96963 years ago Hivi mmesahau kuwa Harmorapa ndio kiboko ya mabishoo, kamuulize harmonize ilibaki nusu sekunde afunikwe umaarufu. Tatizo mabishoo mnaamini kuuza sura too much, kumbe ndinga zingine bodi Chaka lakini injini mpya. Wacha sheria ichukue mkondo watakiona cha moto. Wapelekeee motooo ...
  • @
    @gaudensiayustini86693 years ago Hamorapa usiwe boya Acha ujinga jikaze kuongea ondoa uoga nyooha maelezo ueleweke watu wakuelewe usijizalilishe naumia kitendo ulicho fanyiwa Ila nakerekwa uwezo kuongea vizur watu tukakuelewa usiogope sema yoote wachukuliwe hatua ata kama walikupaka mafuta sema usaidiwe ...
  • @
    @lafifakimbenegele55993 years ago Hata kama kapewa karma yake lakn aliombwa Aache kufanya hvyo kwann Akuacha mnasubr mtu achukue hatu mseme Ameonewa nendeni zenu .
  • @
    @fatihiyachondoma48263 years ago Mpeni jamani mtoto wake mwenyewe kamzaa kwa uchungu halafu minampiga mpeni Sasa hivi kabla sijaja na mkichelewa wallah nakunywa sada pumbavu
  • @
    @gosbertmuta54213 years ago Mtt mdogo anatia mimba kweli mtt wa kisasa
  • @
    @ilungasalle3 years ago pumbavu kabisa alikuwa na buku sita tu kwenye pochi. milioni tano usawa huu angeziweka wapi? 3
  • @
    @aishayusuf68623 years ago wachukulie hatua hao kwakweli sio ubidamu huo
  • @
    @bahatichuma53623 years ago Kick za kikolo mtapelekwa kwa mpalange Yan ningekuwa embah pama lingekuhusu dogo ili utrend vizur...!!
  • @
    @lilianmasoud92363 years ago Hivi nyie mnajua maana ya kutekwa? Km angemteka angeita waandishi wa habar? Nyie vp kwan 1
  • @
    @habibahadam97313 years ago Mhhh waongo jamani mtu ana elfu Sita na dawa za kuleva 🤣🤣🤣 1
  • @
    @moseskisingi96253 years ago Huyu Hamorapa hana washauri!
    Huo muda anao tumia kujieleza hapo alipaswa kuwa polisi akifungua shitaka!
    Hata kama alisema mtoto si wake lakini hakuna anae weza thibitisha kuwa hakuwahi kutoka na huyo Ambalulu.
    Kumkamata na kumshikilia mtu kinyume na matakwa yake ni UTEKAJI!
    Kumchukulia simu na kumlazimisha kusema ama kutenda jambo ni kinyume cha SHERIA!
    ...
  • @
    @milasbaibe3073 years ago It's high time wasanii wa Sanaa ya fani yeyote Tz to get serious with their art and not trending on stupid things like such guys, let's get serious please. 2
  • @
    @shishtommie2643 years ago Huyu for sure hakua na pesa,mjanja kabisaa
  • @
    @florenceruge32153 years ago Wamemuibia tu hao maana alikuwa kama ametekwa
  • @
    @nicholauslaurent54543 years ago Harmorapa hujui kuongea kabisa, ongea funguka kama mwanaume!!!!
  • @
    @jenifaranthony8693 years ago Apime akiwa mtoto sio wake afukumiwe miaka 30 kwani nikesi ya mauaji
  • @
    @josephanangisye20313 years ago Niny acheni ujinga kma unaona ww umeonew nenda kweny sheria Eti mtu anatekwa na vyombo vya habar kwel ww ni mweu 1
  • @
    @frenchygigi3 years ago Hata nime muhurumia hizi ni njaa za waAfrica, watuwanafanya vitu out of desperation
  • @
    @faudhiareymond54583 years ago Ile elfu sita ya kwenye poch ndo laki tano 1
  • @
    @husnamfuko61363 years ago Harmorapa aaache upumbavu.. Anaharibu mahusiano yawatu lione vile.. Lina penda Kiki. Jinga ili.. Umefaidika nini sasa.... Mbona hukujitangaza wakat mjamzito chefu
  • @
    @eshaawadh27343 years ago Atakama ni kweli, walikosea piya harmo ni muongo manake alikuwa na elfu Sita tu na izo million kwani zaeza ekwa mfukon na sizionekane
  • @
    @kigumijr_thesupermodel91193 years ago Yani kama kichoko hichi kijamaa kicheki kinavyoongea..afu kichuma hiki..kimepata kiki basii
  • @
    @alimachitechi21073 years ago Anaejuwa mtoto Ni mama Alie beba mimba
  • @
    @hamismbekae30503 years ago That was wrong the poor boy. Laxima wapeleke mahakamani his human rights were violeted bila hata DNA. Mtt Akiwa wakwake ! Hao wanawake wana tombwa kama mbwa kwassb ya hella na u celebrity. Mtalipa shilling ngapi kwa kwakunyanuasa ikitokea toto lake 🤔 ...
  • @
    @subirielisamwazembe95623 years ago Milion tano unatembeaje nazo amo mbona unataka makubwa na ramadhan hii ebu muogopen mungu mwe
  • @
    @dequeen4603 years ago Ukomeeeee' mtto-wa kiume' hovyoo'sasa'walizwa'n.a. nn shenzi'ww 1
  • @
    @radhialdarusi69633 years ago Mtu alikuwa na buku sita tu pamoja nadawa yake
  • @
    @rahmahkanze29033 years ago Hamo hakua na hela.Hawa jamaa wanataka mambo yawe makubwa na watashindea
  • @
    @zawadichalale40473 years ago Umezid na wewe kutafuta kiki za kipuuzi
  • @
    @kivumbiguta14073 years ago Acha upumbafu wewe milioni tano haiwezi kukaa kwenye walet
  • @
    @fatumamnyenze74893 years ago Mtoto mdogo huyo alivyokua uwafanya hakujua kama ni makosa akulazimishwa alisema tangu n hapo ,milioni moja kwa mkono ebu kwenda n umefunga 1
  • @
    @taustaus27373 years ago Yani mimi sikutegemea kama akida atakua muongo kiasi hicho kwakusema hamo alikua na milioni5 pochi imeonyeshwa ina elfu6 kama huna uhakika nibora ungeangalia ile vidio ndio ukaongea sio kupelekeshwa na hamorapa ambae hajielewi yani leo akida nilikua nakusifu leo niona kila mwenyekanzu ni msemakweli wengine niwaongo ...