Duration 1:38

KUJISAJILI TIC NI POPOTE ULIPO | MAJIBU NDANI YA SIKU 2

32 watched
0
0
Published 8 Jun 2021

TIC tumeimarisha mfumo wetu wa TEHAMA ambayo itamuwezesha muwekezaji kutuma maombi yake popote alipo, pia mfumo huu utasaidia kupunguza mianya ya rushwa, lengo ni kuongeza ufanisi wa kazi utakaosaidia kuleta mapinduzi katika sekta ya uwekezaji nchini.

Category

Show more

Comments - 0