Duration 10:26

IFAHAMU THAMANI YAKO

21 607 watched
0
401
Published 21 Nov 2020

ukiifahamu thamani yako moja kwa moja utajua kuna nguvu kubwa sana katika kuytoa msamaha mapema bila kusubiri waliokukosea wakuombe radhi, samehe kwa sababu ni muhimu kwako wewe na sio wao. . Usiache ku SUBSCRIBE na kuacha mawazo yako kwenye COMMENTS, LIKE na SHARE PIA kwa wengine. . TUFUATE INSTAGRAM: SPN CHANNEL: https://www.instagram.com/successpath_network EZDEN JUMANNE: https://www.instagram.com/ezdenjumanne . BIASHARA, MATANGAZO NA VITABU: EMAIL: successpathnetwork@gmail.com WHATSAPP : (+255)759191076 . #Ifahamu #Thamani #Yako

Category

Show more

Comments - 45
  • @
    @abdoulkarenzo31383 years ago Nashukuru sana kakayangu mtu unapo poteza kitu ulikua unapenda kama kazi amo mpenziwako camuhimu niko nikuafuta kazi ingine amo mpenzi mungine kuliko kuwaza benyewe bilsha kutoka. 1
  • @
    @shukranjulius59103 years ago Hakika huu ujumbe niwangu kabisa umenitibu mungu akubariki sana kaka. 1
  • @
    @augustinoswai684 years ago Asante sana barikiwa sanaa kwa masomo yakoo. 1
  • @
    @irakozesefu41854 years ago Heshim sn ndugu yangu mungu awazidishiye kwa kazi mliyo jitolea kwa kwakuboresha watuu. 1
  • @
    @aline_amor873 years ago Mafunzo ya maana kabisa katika maisha na ndunia ya sasa tuna shukuru kwa mafunzo mazuri.
  • @
    @mashakalonka94074 years ago Ezdenbrother! Mafunzo haya sio ya kawaida! In short you are the best! 4
  • @
    @abushakir44524 years ago Ahsante akhiy nimesikiza hii nikiwa na mahasira mengi sana. 1
  • @
    @hdjirungakashililika75384 years ago Nizahiri kuwa unasitahiki eshima, mungu azidi kukupa nguvu, afya na moyo wakutokuchoka kuwaelimisha vijana wa tanzania na nnje ya mipaka ya tanzania. 1
  • @
    @iddmambo32184 years ago Thanks a lot brother! May allah grant u more wisdom and deeper understanding of many subjects. In shaallah. 5
  • @
    @anuarmazee89393 years ago Mungu aliwkuxudia kuwaumba watu kama nyinyi mungu awape maixha marefu.
  • @
    @aline_amor873 years ago Na mshukuru mungu kanijalia nina msamaha ndani yangu yani mtu aka ni kosea huwa na kasirikaka lakini mda mchache naamua kusamehe na furahi na cheka nae kama kawaida.
  • @
    @hatimsalum55874 years ago Kuna wakati huwa nafikiria ezden atakuwa siyo mtu wa kawaida, kuna wakati huwa nafikiria hv kusoma vitabu ndiyo inambadilisha mtu kuwa hivyo dah! Sometimes huwa nafikiri kuwa umezaliwa hivyo kuwa ww kama ezden. 6
  • @
    @allymaganda50614 years ago Haya sio tu ni mawazo mazuur sana bali pia ni madini yenye thamani zaid ya diamond. Well done ezden. 2
  • @
    @shabanzege30504 years ago Allha akupe kila la heri ktk kala atua ya mafanikio yako broo. Naitwa shaban zege np mkoa singida, shelui. 1
  • @
    @ally77414 years ago Salam alaikum, bro ukifundisha kwa hi style, nzuli sana. 1
  • @
    @wakuwezaclassic69474 years ago Thanks brother huwa najifunza vingi allah atupe mwisho mwema. 3
  • @
    @haikajohn75804 years ago Nikweli kabisa zidi kutuelimisha ndugu. 1
  • @
    @amourmtungo6234 years ago Kweli kabisa hasira ni hasara na ni ujinga kabisa sawa na matusi. Kila mtu ana upungufu na udhaifu wake. No body is perfect although everybody is unique. 1
  • @
    @emadjuma5074 years ago Asante sana kaka ezden nakupenda sana umebadilisha maisha yangu kwa kiasi kikubwa sanaa, nna mwez mmoja tokea niijue chanel hii lkn nimeweza kubadilika na kuwa tofaut na nlokua mwanzo asante sana
    Mimi ni msichana ambae nna umri mdogo sana ila kutokana na hali ya maisha ilinifanya niondoke niende nje ya nchi yangu na huku nlipo sometime napitia wakat mgumu sana lkn video zako zimeweza kunifumbua macho pale nlipokua sion mungu akubariki sana my brother @success pass network one teach one
    ..
    ...Expand
    2
  • @
    @madibacelouse60954 years ago Ni kweli bro kwani hii motivation imenigusa sana kwani awali nilikuaga ivyo na ichi kitu hutesa watu wengi sana asee, ila nashukuru kwani nowadays nimechange may god bless you bro ezden. ...Expand
  • @
    @geraldsenkondo43344 years ago Nadhani katika yote uliyofundisha hili umefanya vizuri zaidi.
  • @
    @richadolph73204 years ago Umezungumza ukweli bro, wengi tunatafuta watu tunaowaita sahihi au company sahihi bila ya ss kujiuiza je sisi ni sahihi? 1
  • @
    @emadjuma5074 years ago Asante sana kaka ezden nakupenda sana umebadilisha maisha yangu kwa kiasi kikubwa sanaa, nna mwez mmoja tokea niijue chanel hii lkn nimeweza kubadilika na kuwa tofaut na nlokua mwanzo asante sana
    Mimi ni msichana ambae nna umri mdogo sana ila kutokana na hali ya maisha ilinifanya niondoke niende nje ya nchi yangu na huku nlipo sometime napitia wakat mgumu sana lkn video zako zimeweza kunifumbua macho pale nlipokua sion mungu akubariki sana my brother @success pass network one teach one
    ..
    ...Expand
    2
  • @
    @madibacelouse60954 years ago Ni kweli bro kwani hii motivation imenigusa sana kwani awali nilikuaga ivyo na ichi kitu hutesa watu wengi sana asee, ila nashukuru kwani nowadays nimechange may god bless you bro ezden. ...Expand