Duration 10:19

(Eng Sub) PATA SIKU ZAKO KAMA ZIMECHELEWA HARAKA NA ONDOA MAUMIVU | how to get periods immediately

119 436 watched
0
1.3 K
Published 5 Jun 2020

#hedhi_siku #period_immediately #jinsi_kupata_siku

Category

Show more

Comments - 183
  • @
    @MwazaniTwaha-ds8mr10 months ago Jaman mim mwenyew shuhuda wa hili tatizo nina miez mitat ckuon piriod zangu kwasabab nilikuw natumia sindano lakin nimetumia uwo mchanganyok asubuh na . ...Expand 1
  • @
    @marthakenganije86233 years ago Madam kam ndo umeingia period na damu inatoka kidogo na maumivu makali naweza kuitumia. 9
  • @
    @dinaorio1852last year Mimi pia nimepata ushuhuda jmn nilikunywa jana na period ikaja. Ahsante dada ubarikiwe.
  • @
    @maureenkeya91642 years ago Habari yenu mie hapa nko hilo changamoto nko mwezi mmja na nusu sjaona periods zangu mdalazin naeza nikaupata wapi ili niweze kufanikiwa na hedhi zangu jameni ninayo stress kali sana mummy. 4
  • @
    @aishashabani-fs6pplast year Asante sana dada mungu akubariki sana yan nimekunywa glas moja tuu baada ya dakika kumi mambo hayoo asee nilikua siamini nilikua nimepitiliza siku zangu kama wiki mbili nakushuru sana dada nimeziona.
  • @
    @rosemonica53872 years ago Dadaang nisipo kushukuru kweli ntakuwa sna shukrani nimekaa miez 7 bla period lakini huwez amini nimeitumia hii dawa leo na mda huu npo period mungu akubariki sana. 16
  • @
    @khadeejamct2096last year Asant dadayang kwamafunz yak mung akubarik na akulind.
  • @
    @halimamuhagama5066last year Ngoja ntumie maan so kwa maumv hay ntalet mlejesho jman. 1
  • @
    @eliadadeogratius92172 years ago Asante sana dada sikuona siku zangu kwa miezi 2 ila leo asubuhi baada ya kufanya ulivyo elekeza masaa machache tu nimeziona ubalikiwe sana. 5
  • @
    @victoryapolinary5502 years ago Mm naomba ukuliza mbona nilishirik tendo mwezi wa 5 mwezi wa 6 7 8 zote niliingia period mwez hk lkn mwezi huu wa 9 cjaingia p na dawa yako nimekunywa mara 4 lkn bado.
  • @
    @annahsunday39652 years ago Habar dada flora nilikuw natumia sindan za uzazi wa mpango ila nimeacha kuzichoma toka wa kumi na mbili mwaka jana but mpk sas sijapat hedhi dadaang naweza tumia hivy ulivyoelekeza nikapt hedhi kama kawaida.
  • @
    @linahpasco3775last year Dada nashukuru sana nilipitiliz ck 6 bla kuona period, nmekunywa mchanganyiko huo uck asubh nikaingia ahsnte sna mung akubrk.
  • @
    @vairethjames92642 years ago Kwel hii dawa kibok tok mwz wa kwanza nimepitiliza nilivyoon hii video nikasem nifanye majalibio ilikuwa usik mid ya saa mbil nikafanya maelekezo nikanywa . ...Expand 3
  • @
    @mwanaidimresh16284 months ago Da flora naeza kutumia tangawiz ya unga.
  • @
    @liliankibet90082 years ago Iwapo sina mdalasini naeza tumia nini tena,
  • @
    @sankurukito45632 years ago Aksantijuu yajeuri aswa. Hiimakuca. Ikaweza kuwaau mwenyikufunga jibu.
  • @
    @kizanyengele97322 years ago Je naweza kutumiya mdarasini wa uga kwasababu mm nipo marecani sijuwi kama ninaweza kupata mdarasini wa mti.
  • @
    @shelomaday46334 years ago Asantee cute. Lakini unatumia kwa mwezi mmoja au miezi yote. 6
  • @
    @marialemi21772 years ago N. A. Kama huoni ule ute wa mimba dada jmn toa hilo somo plz.
  • @
    @rosepaul6212 years ago Mm nimefanya mapenz na mwenzang wang lkn badoo xjaona xiku zanguu.
  • @
    @niyonzimahilali27253 years ago Shukran lakin kama abdalasin haikupatikan itakuwaj?
  • @
    @jasminali59214 years ago Asante sana nimeipenda maan naumwaga na tumbo mpk inafikia hatua natapika. 5
  • @
    @Switielie11 months ago Nilifanya family plan ya sindano, p imegoma sindano imeisha time.
  • @
    @mariyammariyam65842 years ago Yaan nimechelewa sku tatu hapa sielew ndio naina hii video acha nikaanze doz inshallah kher. 2
  • @
    @dianadriveni54632 years ago Samahani kidogo dada mimi nina mwezi sihoni damu yangu nasijuwi shinda nini nimesha pima vipimo vya minba hila mimi sina minba sasa niko nahuliziya hivi . ...Expand 4
  • @
    @officialdadys35472 years ago Hataka nilihalibuu mimba nikachelew kuingia period inasaidia. 2
  • @
    @davidchriss97612 years ago Nikifanikiwa kuona period naendelea au naacha. 1
  • @
    @mwanahalimamwachili96794 years ago Shukran sana flora, hapo kwa maumivu duuh hatarii. 8
  • @
    @minnahhassan22293 years ago Shukrn nimepata sasa hvi lol! Nilikunywa jana usiku sababu ilikuwa imechelewa siku tano ewe! Ila maumivu sasa we sijui niendele kutumia. 6
  • @
    @blowc6700last year This is my daily routine and i still get it late ama ni juu ya kusimama sana juu kazi yangu ni yakusimama. 2
  • @
    @lelasalum5553 years ago Senate sana ninatatizo hilo na kuchelewa kupata hedh ila naomba kuuliza naweza kutumia mdalasini wa unga. 2
  • @
    @asiarota13287 months ago Sioni siku zangu na tarehe ya kuon ni leo.
  • @
    @enterenter19212 years ago Nimekunywa mara nyingi lkn haijanisaidia.
  • @
    @hasnajumahassan83292 years ago Nitajalibu na mimi maan hayo maumivu siyo poa.
  • @
    @aikajumanne32532 years ago Samahani ata kama umechoma sindano nasiku zimechelewa kupata hedhi naweza kupata kupitia maelezo ayo. 2
  • @
    @annahkisanga78202 years ago Dada kama sina mdalasini wa magome naweza tumia wa unga.
  • @
    @blackblue96774 years ago Sasa dada kama sina mdarasini nitatumiya nini. 5
  • @
    @juatinawilliam23912 years ago Dada mbona nimetumia sijaona period nina myaka miwiri sijaona period. 2
  • @
    @mariamamir17863 years ago Yaan niliishiwa bando ila nikaona bora nikope. Ili nilete mrejesho. Glass moja tu imenipa mrejesho fasta. Period tayari ni kama lisaa limoja hivi kupita. 1
  • @
    @graceneema45403 years ago Vipi kipenzi nikiwa na mimba ya mwezi mmoja inaruhusu kukunywa au. 3
  • @
    @bibimzee78804 years ago Tutafutie dawa ya wenye kukojowa kitandani. 6
  • @
    @rachaeljackson85534 years ago Asante kwa somo nikiitaji kupunguza uzito plz. 1
  • @
    @husseinbangine19632 years ago Da flora mimi nina miezi mi 8 sipati period jee ntaweza kufanikiwa.
  • @
    @aishambogo89473 years ago Mm mwenye niko na. Mwezi 5 bila kuona siku, angu nitafanyaje. 2
  • @
    @sophiasalum25343 years ago Dada me cku zangu cjaziona takliban mwaka je inawezekana kutumia na ikanisaidia. 1
  • @
    @janethtarimo64762 years ago Ukweli ni kwamba ukitumia hii ni kweli na inafaa tumia tu utajionea matatokeo nimetumia siku mbil saiv naingiy p kama kawaida.
  • @
    @lusciousallian69982 years ago Nilipitia hii post yako tareh 5 baada ya kuchelewa week nzima kupata siku zangu. Nilikua nna was sana. Najua wanawake mnaelewa hii hali. Baada ya kusoma . ...Expand 2
  • @
    @vumiliamatchu3704 years ago Sasa dada mtu ambaye ajawahi kuona siku zaka akitumia iyo ataona? 3
  • @
    @mwajumahussein83463 years ago Jaman mimi nianwik sasa sipat piliod nikitumia hiyo dawa nawez kupat piliod.
  • @
    @bossbaby57223 years ago Mm nina miezi miwili mpaka sasa sijaona hedhi zangu dada je nikitumia hii dawa naweza kupata.
  • @
    @betridaphares83643 years ago Dada samahani kama mtu umetumia sindano ya majira na huoni period ukitumia hii atapata.
  • @
    @cheiknamouna20584 years ago Je niktumia viungo mchanyiko vilivyosagwa vya chai nikazidisha tangawizi itafaa? 1
  • @
    @salimanasri39803 years ago Dada kama sina tangawuzi siwezi kutumia mdalasin.
  • @
    @elizadonath7564 years ago Mfano ukitumia baada ya siku 7 kuisha na siku ya 8 ntapat period? 2
  • @
    @deboraswilla65963 years ago Nimetumia siku mbili dear ya tatu ikaanza. 1
  • @
    @bahatiulengo11183 years ago Nilikua sijaingia miezi 2 na sina mimba nimekunywa jana na leo naendelea but naic maumivu ya tumbo la chini, but damu hazijaanza kutoka. 1