Duration 3:15

Kachori za viazi - Potato balls

239 183 watched
0
3.5 K
Published 2 May 2018

Ingredients 1 kg boiled and peeled potatoes Salt to taste 3 tbsp or more lemon juice Green chilli 1 cup all purpose flour Salt 1 tbsp emon juice 1 tbsp turmeric powder Oil for deep frying Water #shunaskitchen Mahitaji Viazi ulaya kilo 1 vichemshe uvimenye Chumvi kiasi Pilipili za kijani kiasi Maji ya ndimu au limau vjk 3 au zaidi Unga wa ngano kikombe 1 Chumvi kiasi Bizari ya mchuzi kjk 1 Maji ya limau kiasi Maji Mafuta ya kuchomea #shunaskitchen

Category

Show more

Comments - 176
  • @
    @pillyomaryhemedi657711 months ago One of my favorite @shunas kitchen
    may allah bariq u.
  • @
    @esperancafernandes36083 years ago I always wanted to learn this kachori making. Thank god i saw you making it. Lovely. 2
  • @
    @fridamwakyambiki32554 years ago Sijawahi kujuta kwa recipe zako shunas. Mungu akubariki. 1
  • @
    @ummsalamahrashid79206 years ago Shukran dear kwa mapishi mazuri twa faidi sasa mashaa allaah. 1
  • @
    @wakisablackson83912 years ago Nimejaribu zimetoka vinzuri
    asante kwa recipe.
  • @
    @safiaothman10985 years ago Masha allah na jazaki allahu khairaan kathiraan.
  • @
    @chakubanga16 years ago As simple as 1-2-3 akisante kimdada mwenye sauti ya kachori.
  • @
    @veronicasospeter60342 years ago Thanks shuna nimepika kachora zangu hapa nakula tuu. Ni tamu balaa. 3
  • @
    @zindunaabdallah90646 years ago Shuna jamani wewe doh mm maashaaallah. 1
  • @
    @vanessaenock13373 years ago Leo nimepika kachori tamu san l love u.
  • @
    @fatmaabdallah57616 years ago Mashaallah ajab it' s very yummy thanks for the recipe. 1
  • @
    @salmanassor98952 years ago Mshllh co nice sstr iy ndim kweny ung inasaidy nn plz.
  • @
    @rahmaa.naim.93916 years ago Maashaallah tufundishe na badia za dengu. 4
  • @
    @ter-nan29235 years ago Jambo, nilijaribu kupika kachori jana, nilipenda sana lakini nikama sikuweka tumeric ya kutosha lakini tuseme tuukuchukua wakati wako kutufunza jinsi ya kuandaa vyakula.
  • @
    @kyaraliz61503 years ago Jamani why zangu zinaachia zikiwa kwenye mafuta.
  • @
    @miriamnyanda93622 years ago Habari! Tatizo la viazi kutawanyika baada ya kuweka kwenye mafuta ni nini?
  • @
    @maryamliposso13536 years ago Masha allah mama nmekua nikikufuatilia sana. 2
  • @
    @gornaanaghikas77073 years ago Heloow dada mm naomba kuuloza swal kama nafanya biashara naweza tengeneza viduara nikaviacha vikalala usiku mzima mpaka asubuh kwa ajil yakuandaa?
  • @
    @mohabatkhanmalak11616 years ago Mashallah, tume penda mapishi hio sana. Assente sana, jazakalla khair. 1
  • @
    @husnanoor13686 years ago Mashallah habibty napenda sna mapishi yako simple na ingredients zote accessible. 1
  • @
    @asyarashid76886 years ago Naomba utuewekee ile ice cream uliotuma instagram ya vanilla pleas. 1
  • @
    @godwinbenedict41464 years ago Shukrani sana, nina jambo langu, nitakuja tena kutoa feedback.
  • @
    @ummunaa4246 years ago Maa sha allah mungu akupe wepes zaid uzid kutufundisha. 1
  • @
    @khadijamdoe43185 years ago Mpenz uwo upishi wa kachori mbona zangu nikipika zinamwagika zikiwa nzima zinakuwa hazikaz help me my dear.
  • @
    @gakougakou84454 years ago Kama hawuna unga wangano uweke unga gani.
  • @
    @aneidakihongosi82255 years ago Hiyo binzali ya mchuzi inapatikana sokoni au dukani? Na hiyo limau nakamua limao ya kawaida?
  • @
    @officialqueennuu47575 years ago Mashallah napenda video zako ni short si long video ikachokesha kuangalia.
  • @
    @fatumakilua95425 years ago Ivi mnavyo sagia viazi vinaitwaje na vyauziwa maeneigani mnao faham kwa tanga.
  • @
    @shainosman96805 years ago Salaam. I had sambusa in dar. The outer pastry was made with raw manda. And wrapped in layers. Its very popular amongst african of arab descendent. If you know of this wrapping style pleases share.
  • @
    @hazelbrown47126 years ago Mashaallah looks yuummyy shukran jazillan juzi nilizipika kama hizo mtoto wangu amezipenda hatare watu wamezila nyumbani nawaambia kachori sio lazima tukienda dar ndio tuzile hata hapa msa tunakula mbona. 2
  • @
    @sofiaslife8904 years ago Turmeric powder si manjano. Me leo nmejarib nikaweka majano pia si sawa?
  • @
    @catherineezekiel62066 years ago Asante, je ni unga wa ngano upi unafaa kutumia kuweka ktk viazi ngano iliyo kobolewa au usio kobolewa? 1
  • @
    @AliBaba-zb3tg6 years ago Mbona mimi vinaganda chini nikipika jamani vina mukunyuka rohoo ina niuma afu napenda sana kachori. 1
  • @
    @evelyntoya29196 years ago Naweza tumia unga wa dengu or gram flour. 1