Duration 2:35

Nini haswa kilichotokea katika ajali ya ndege ya Ethiopia Airlines

274 207 watched
0
546
Published 10 Mar 2019

Hayo yakijiri, Ripoti zinaarifu kuwa rubani wa Ndege hiyo ya Ethiopian Airlines alijaribu kuwasiliana na uwanja wa ndege wa kimataifa wa Bole Mjini Addis Ababa dakika mbili baada ya kupaa akielezea hitilafu kabla ya kutoweka. Ndege hiyo ilianguka dakika nne baadaye huku serikali ikisema kuwa rubabi huyo alikuwa tayari ameidhinishwa kurejea uwanjani. Lakini je, nini haswa kilichotokea? Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered. This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world. Follow us: http://citizentv.co.ke https://twitter.com/citizentvkenya https://www.facebook.com/Citizentvkenya https://plus.google.com/+ CitizenTVKenya https://instagram.com/citizentvkenya

Category

Show more

Comments - 111