Duration 1:00

@actwazalendo inaomba mchango wako

405 watched
0
2
Published 20 Sep 2019

Uwe Mfanyakazi, Mkulima, Mfugaji, Mvuvi, Mfanyabiashara, Machinga, Mama Ntilie, au Mjasiriamali; Uwe katika Sekta ya Umma au Sekta Binafsi; Uwe Umeajiriwa au Umejiajiri; Uwe katika Vyama vya Siasa au Asasi za Kiraia - @ACTwazalendo inahitaji mchango wako kuongoza Mabadiliko.

Category

Show more

Comments - 0