Duration 3:29

Sifa za mpenzi asiekupenda kwa dhati

187 850 watched
0
1.1 K
Published 9 Apr 2018

Category

Show more

Comments - 108
  • @
    @aeroportonissan80776 years ago Hiyo ya mwisho ndo every thing.
    naomba wasikilizaji chukueni hiyo point ya mwisho kwasababu inasema ukweli kwa 100%
    29
  • @
    @enjoojustin33236 years ago Mhmhmh mm sitapenda tna maana yana umiza sana yaan stak. 10
  • @
    @mariamer74645 years ago Dah umenigusa dada hayo ndo maisha yangu. Shikamoo mapenzi.
  • @
    @jianyoslimsrekud13705 years ago Ahsante san kwa mafunzo murua, inaotufungua macho.
    kwa sauti tam hik, narudia tena kukuskiza.
    view from ituri, drc.
  • @
    @ombeniseif65665 years ago Asante sana kadadaa umenigusa kiukwel na sana my.
  • @
    @engineerbaraka166 years ago Point y mwisho ni the best one, utajua kama yupo na wew ama laah. 5
  • @
    @japhetmasunga63276 years ago Dada angu naona kama umenisema mm kuna mtu nampenda xana lkn yote uliyoyasema nahis km unajua ninavyofanyiwa mm point ya mwisho big up %100. 20
  • @
    @rhodaayuma2406 years ago Ni kweli kabida, yote uliyosema ni sahihi100% 3
  • @
    @anithadenicanitha545 years ago Hahaha staki kuvheka kingeleza mie ikifka mda ushaishi miaka zaid ya mitano mshaazaa watoto apo ni kuangalia familia sio mapenz tena. Ngoja niwaambie id="hidden1" jinsi maisha yanavyo badilika ndo binadamu tulivyo ishi ukiwa na furaha maisha ndo hayo usikubali mtu akupe stress alf yeye uko nje anacheka acha kabsa utumwa wa mapenz ni dhambi wallah. ...Expand 2
  • @
    @rosenaadolfu32596 years ago Kweli dadaangu umeongea kweli yamenikuta. 6
  • @
    @neemaaminiely65124 years ago Sisemi maana najuta kupenda na nikifanikiwa kusahau sitapenda tn.
  • @
    @khalifajeremiah625 years ago Kweli kabisa iyo imenitokea mpaka sas sina iman n demu wangu.
  • @
    @enjoojustin33236 years ago Sio kwamba na ya chukia ila ukweli si yapend tna mapenzi. 16
  • @
    @asmahoney10565 years ago Daah mapenz mashenz sana acheni tuu mm cjui kama ntapenda tna mwenzenu wanaume hawa jaman naumia mm kwa ajil ya kupenda tuu.
  • @
    @hatamimnimempendabulejaman15964 years ago Kwel ukimuuliza naye atakuuliza. Da mimi nilikuwa na mtukwa marafiki zake wengi sana na alikuwa ananiambia ana kiwanja siku tutaenda wote.
  • @
    @yusuphbalali90376 years ago Watu kama hao napiga chini haraka sana. 3
  • @
    @avithapolinary74435 years ago Dah! Yani utafikili ulinijua vile kuna dem nilimpenda sana nikajitaidi kumfanyia kila aliloitaj lakin mwishowe nikaachwa lonely. 1
  • @
    @marymaiko66056 years ago Mmh! Kweli kabisa inauma sana kumpenda mtu asie kupenda. 18
  • @
    @fridaynjenje9925 years ago Yani mm ndo yanayo nitokea hay lakin kutokana na haya maneno yako ya mwixho umenifunza kwel sito ladhimisha tena. 4
  • @
    @prosperdonald97375 years ago Umenigusaa sana naomba namba za watsap unifungue kitu.
  • @
    @stelladaud97886 years ago Saw lkn mm kwa sasa mmh cn mapenzi kwakweli. 1
  • @
    @yohanajoshua78816 years ago Ni kwel kbs hzi ni dalili za kwel ahahahah. 2
  • @
    @deokizizi33085 years ago Sasa kwa mfano kesha kuonesha dalili za kimwili je halafu anatabia kama izo unazosema hapa inakuaje?
  • @
    @mariamomary8986 years ago Duuh mm kilicho nichosh kwa mpenz wang n kwamba alinambia kwamb nikipata mwanaum ambae atanip ela eti niwe nae maan yy han pesa anavy sem yy sasa najiuliz ananipend kweli uy. 7
  • @
    @zainbz34825 years ago Umetonesha watu vidonda kila ukipitia comment lazima ukute malalamiko aisee ata hamu sina ya kupenda ndomana nipo omani miaka mitano sasa nasaka hela sio mapenzi fyuu labda wangu ajazaliwa. 3
  • @
    @joycejoshua28876 years ago Kwel dada usiombe ukapenda ucpopendwa utajilaumu. 2
  • @
    @anithadenicanitha545 years ago Hahaha staki kuvheka kingeleza mie ikifka mda ushaishi miaka zaid ya mitano mshaazaa watoto apo ni kuangalia familia sio mapenz tena. Ngoja niwaambie id="hidden5" jinsi maisha yanavyo badilika ndo binadamu tulivyo ishi ukiwa na furaha maisha ndo hayo usikubali mtu akupe stress alf yeye uko nje anacheka acha kabsa utumwa wa mapenz ni dhambi wallah. ...Expand 2