Duration 2:51

RC WA PWANI AKABUDHI GARI LA WAGONJWA

191 watched
0
2
Published 20 Dec 2021

Mkuu wa mkoa wa Pwani Abubakari Kunenge amekabidhi gari la kubeba wagonjwa lenye thamani ya shilingi milioni 120 ambayo itahudumia wananchi wa Kata tatu za jirani na Kata ya Kibindu katika jimbo la Chalinze mkoani Pwani. Kunenge amekabidhi gari hilo la wagonjwa kwa uongozi wa halmashauri na uongozi wa Kata ya Kibindu na kuagiza matumizi sahihi ya gari hilo kwa kulitunza na kuto watoza gharama yoyote wagonjwa.

Category

Show more

Comments - 0