Duration 8:37

KUHUSU CHANJO-SERIKALI MOJA KUITAWALA DUNIA /DALILI ZA HATARI

4 720 watched
0
78
Published 4 Mar 2021

#NewWorldOrder#JesusComing#Bible#Secret Katika utawala wa dunia chini ya mpango huu, maisha ya watu yatakuwa yanasimamiwa na serikali itakayokuwapo. Wale watakaokuwa watii kwa utawala, wataweza kupata mahitaji yote, kama vile chakula, maji, matibabu, n.k. Wale ambao watakuwa wakaidi, watanyimwa kila huduma hadi wafe kwa njaa na magonjwa. Pia, kama ilivyo kwa tawala zote za kidikteta, watu watakuwa wakiishi kwa kuogopana wenyewe kwa wenyewe. Propaganda zitafanya kazi yake kuwajaza watu mawazo kwamba, kila aliye kinyume na serikali ni adui wa umma. Kwa hiyo, yeyote atakayemwona mtu wa namna hiyo atatakiwa amripoti kwenye vyombo vya usalama, au hata kumwua. Naamini wengi tunakumbuka jinsi tawala za kijamaa na kikomusti zilivyokuwa – yaani tawala kama vile za Urusi, China, Korea Kaskazini, Ethiopia ya Mengistu, nk, na hata mataifa mengine ya kidikteta kama vile Irani. Mtu yeyote anayekuwa na mawazo tofauti na ya watawala; au anayehoji jambo lolote, anaitwa kibaraka wa mabeberu, mshirika wa maadui, msaliti wa umma, n.k. Kila mtu anakuwa anamwogopa mwenzake, maana hujui nani atakayeripoti kile utakachokisema. Ni maisha yaliyojaa hofu, woga na mateso mengi.

Category

Show more

Comments - 10