Duration 4:24

Kupika NDIZI ZA MKONO WA TEMBO / NDIZI ZA KIUME | Mapishi ya ramadhan 11

5 054 watched
0
216
Published 28 Apr 2021

Assalamu aleikum. Recipe ya leo ni ya ndizi za mkono wa tembo ama za kiume. Ni nzuri sana na rahisi kutengeneza. Na pia ni nzuri sana wakati wa ramadhan Mahitaji: 3 plantains / ndizi za mkono wa tembo 3 cups tui jepesi 1 cup tui zito 2 tsp iliki 1/2 cup sugar

Category

Show more

Comments - 17