Duration 5100

Contemporary 3 bedroom houses | vyumba 3 contempo shrka 210309

16 837 watched
0
49
Published 28 Aug 2021

kwa taaarifa zaidi https://wp.me/p977uf-dJ • Nyumba hii yenyewe kama yenyewe inachukua eneo 12m kwa 15m • 1 masterbedroom ya kutosha yenye faragha nzuri • 2 vyumba vya kulala vyenye eneo la kutosha • 2 vyoo vya ndani • Sehemu ya kulia • Sebule  ya kutosha • Jiko la ndani pamoja na stoo • Vibaraza  vya mbele ya nyumba na kwa upande wa jikoni • inaenda matofali 4100 • bati zinaenda 63 za futi 10 • Sifa ya kitofauti: iko vizuri Ukipendezewa na hizi picha  unaweza jipatia mchoro   wote kwa kuupakua  hapa shrka 210309 ( 5 mb)( ramani nzima complete ) ……Unapata shida jinsi ya kuipata/kuipakua fuata hapa ……unaweza ukaangalia kwa kiasi kuhusu gharama hapa(ipo kwenye majaribio bado) ……kama vile jinsi unaweza kuoona hapa muundo wake utakavyokua kwa kuupakua hapa hii ni kama sample  (1 mb) ……Unapata shida jinsi ya kuipata/kuipakua fuata hapa …….pia unaweza kutupigia kwa nambari +255718738678 (kupiga tuu) pia kwa barua pepe heximichoro.wp@gmail.com au isaacmoshi[at]hotmail.com au 0718-73-86-78 …….Tucheki whatsap hapa kwa hii post …….Wasiliana nasi ili kuweza kuona mchoro ulioupakuliwa(kupata password). …….Kwa ishu ya gharama ni 400,000Tsh maelewano yapo kwa watakaosubrcribe watapata punguzo la 5% ya gharama …….. Motandao ya kijamii Instagram  @hexi_michoro facebook  fb.com/heximichoro …….Tunapenda na kuuthamini mrejesho wako katika vilivyopo …….unaweza kutazama pia huduma zetu hapa ……..vigezo na masharti kuzingatia • Fits to an area not less than 12m by 15m • 1 master bedroom with full of privacy • 2 bedrooms with enough comfortability space • 2 public toilet • Dining  • Large sitting room • Kitchen with store • Front veranda and kitchen veranda • it cost 4100blocks • it takes 63 corrugated iron sheet of size 10ft • Special feature: good for starting new life it saves If you view pictures and feel satisfied with it,  we encourage you to download it here by clicking here shrka 210309 ( 5 mb)to get a full working drawing to your site ……Troubled with the procedure follow here (it's like how to) ……..you can preview somehow cost based on little experience here(it is still under trial ) ………. full of dimension and everything as you can see here by clicking here to view sample (1 mb) ……Troubled with the procedure follow here   ……….you can call us +255718738678(calls only) or mail us on heximichoro.wp@gmail.com or isaacmoshi[at]hotmail.com or 0718-73-86-78 …….you may whatsapp us here with the post reference ………..make sure you contact us to get access to your choice downloaded to enjoy in your construction(getting password to the pdf file) ………..For pricing $200 usd negotiation will be there and 5% off to the email subscriber at the site …….. Social media Instagram  @hexi_michoro facebook  fb.com/heximichoro ………we love your feedback …….you can revise what we can offer you here ……..terms and conditions to be followed

Category

Show more

Comments - 6