Duration 22:59

LIVE: Mazoezi ya Simba SC kutokea Mo Simba Arena

74 288 watched
0
949
Published 29 May 2020

@simbasctanzania25 #SimbaSCTanzania #SimbaSC #SimbaTV

Category

Show more

Comments - 110
  • @
    @azekieltv79774 years ago Kama umemsikia gerson fraga akisema habari za asubuhi gonga like hapa. 33
  • @
    @allyseif32374 years ago This is what we need simba fans, simba nguvu moja. 8
  • @
    @mrikongosi31514 years ago Jamani mwenye namba ya chama mwamba wa lusaka amwambie akodi hata boda tu arudi tumalizie kipolo chetu simba nguvu moja. 4
  • @
    @msambaawize38184 years ago Mo simba arena hyooo simba chama kubwa.
  • @
    @richardmallya39064 years ago Faraha sana kuona simba sc tanzania (father of football) wakijiweka tayar kwa maandalizi ya ligi. 3
  • @
    @jamesmwijage71944 years ago Kazi imeanza kila la kheri vijana wetu. 2
  • @
    @hassanihassani86594 years ago Daaa hao wamba mbona washaanza kua na vitambi walikua wanapga tizi kweli, i love you simbaaa mnyamaa. 1
  • @
    @jasminegabriel42474 years ago Maisha yangu yote hapa duniani ndaipenda simba mbaka mwisho this is simba nguvu moja. 1
  • @
    @linnadeo40564 years ago Nyie laleni wenzenu washaanza mazoezi badae ooh marefa wanapendelea simba. 1
  • @
    @katutusaidi62234 years ago Nic simba sports club in tanzania most africans. 1
  • @
    @jaffarijaffa74024 years ago Camera man tulia. Kuwa professional. Afu acha kuchukua view za mbali. Tunataka kuwaona fresh wachezaji wetu. 9
  • @
    @jeniferjoseph35754 years ago Hila we fraga wewe yani unatusalimia heti habar zasubuhi. 8
  • @
    @yohanahabely28434 years ago Inapendeza sanaa. Lazima kuwe na utofauti ya sisi na wao. 4
  • @
    @peterkasele89564 years ago Wana simba furaha yenu mwisho mwaka huu.
  • @
    @augustinongereja52834 years ago Camera man unayumba waambieni wachezaji wanatakiwa kufanya nini kabla ya kuanza kurekodi. Hatutaki sauti kuwa professional kaka. Ila yote kwa yote kazi nzuri. 1
  • @
    @jacksonmsele15004 years ago Mungu ninakuomba kwa moyo wangu. Baba isaidie simba wawe na uwezo wa kubuni na kuzalisha mapato mengi kwa klabu. Ili itoe ajira kwa watu wengi. Simba nguvu . ...Expand
  • @
    @kalolibenedictor63194 years ago Tutaelewana tu, ila fanyen kuongeza camera. 3
  • @
    @ramafakihi28214 years ago Simba ni kma taasisi tunataka camera zenye high quality ili tuweze kuona kila kitu co kubahatishia ty.
  • @
    @danielchristopher33064 years ago Kam umsikia w mnyarwanda bong like twend saw.
  • @
    @zabronnkoy49084 years ago Huyo tairone kingereza hajui na matola kireno hajui. Pale walikuwa wanaelewana kweli? 3
  • @
    @richardmallya39064 years ago Simba sc tanzania is the father of football in tanzania. Who can withstand his wrath.
  • @
    @dennismalima53654 years ago Tunamaliza data limtu linarusharudha camera mamae. Be professional, na hao players wafundishwe kushow love kwenye camera. 7
  • @
    @oscalaelias31144 years ago Camera man kuma mama yko hujui kutuliza kamera yani km tuna angalia vibonzo msyu.
  • @
    @diocreshezron40874 years ago Jaman wana nguvu moja tu subscribe channel yetu ya simba utopolo wasituzidi. 3
  • @
    @angumbwikemrope45654 years ago I like my club please keep it up @prince_mrope. 1
  • @
    @masoudseif49624 years ago Wahusika tunaomba camera zenu muchukue vizuri video. Ili ziwe na ubora.
  • @
    @richardnjau3624 years ago Namuona huyu mnyarwanda anashangaa mjini tuu.
  • @
    @wolfugangtesha57244 years ago Naona sasa hivi mnafanya vizuri kipande cha you tube.
  • @
    @frankathanas30544 years ago Mbona pamechoka mapema hivi wanaotunza viwanja hivi wapo? Nakama wapo watafakari kwanini pamekuwa hivi. 2
  • @
    @barackmoses70034 years ago Kuna watu wanatamani uwanja huu uwe wao wale kwa macho tu.
  • @
    @lightzamba33924 years ago Mnawalazimisha wachezaji kuwasalimia mashabiki wakati hawana dhana hzo haijakaa poa.
  • @
    @dutchsafari75624 years ago Simba _Moja kama huja subscribe bado fanya hivyooo tufike hata 30k hapo Utopolo wametuzidi Wana 37.9k kwenye youtube wanasimba tunashindwajeeee.. 9
  • @
    @sm5tv4 years ago Cameraman una mambo mengi daah camera haituli daah
    simba timu kubwa camera kubwa za kisasa zinahitajika hapo zenye uwezo mkubwa jaman.
  • @
    @galatonemedia59584 years ago Kama umemsikia fraga na kagere wakisema hallow wanamsimbazi subscribe kweny link hii. 2
  • @
    @naseebchikoka38744 years ago Camera man anazingua anatembea kama anashoot ndoa timu kubwa kama hii inakuaje na camera moja.
  • @
    @stevemwakisimba59864 years ago Subiri miaka mitano hesabu itoke hapo! Billion 20itakua imekwisha hahahaha hicho kinengo nini choo?
  • @
    @mahupaabdul14554 years ago Unaposema club kubwa iwe hv. Viwanja vyako, mazingira kama hv. Hakika cc ni next level. 1
  • @
    @hamismwangi46424 years ago Camera man anachezesha sn camera haitulii. 1
  • @
    @receptionzanbluu36564 years ago Wakumwangalia hayupo tatizo ndomana kamera haitulii, peleka mb zako kwa morison uburudike. 1
  • @
    @sadamsuleiman84844 years ago Wanaume kazin gonga like kama unalkubali chama. 5
  • @
    @oscalaelias31144 years ago Camera man wew hujui kazi yako wew unashindwa hata kuweka stend muda wote camera inacheza cheza tu. Stupid.
  • @
    @afyandogo4 years ago Wachezaj wetu changamoto sana hasa hawa wakitanzania angalia mtu kama santos kaambiwa salimia mashabiki kafurahi kabisa ila unakuja kwa mtu kama manura . ...Expand 1