Duration 50:12

NAMNA YA KUISIKIA SAUTI YA MUNGU (Mungu anapoongea na wewe)

57 397 watched
0
532
Published 14 Nov 2019

JE! UNAWEZA KUTAMBUA MUNGU ANAPO ONGEA NA WEWE? KUPATA KITABU KINACHO ONGELEA NAMNA YA KUISIKIA SAUTI YA MUNGU PIGA SIM NUMBER +255759612430 MAREKANI NA CANADA PIGA +1515 441 4962

Category

Show more

Comments - 80
  • @
    @graceb23984 years ago Im blessed to hear your massages always. 3
  • @
    @edwardmarro9785 years ago Machozi yananitoka moyoni pr somo hili ni kama uliandaa kwa ajiri yangu,
    eehh mungu neema yako ikawe juu yetu na utupe macho ya kiroho katika pendo la yesu kristo amen.
    11
  • @
    @zipporahnyanchoka42914 years ago Wah am blessed with yourpastor also b blessed. 2
  • @
    @asharamadhan88065 years ago Amina mchungaji ubarikiwe na mungu wa mbinguni katika jina la yesu maana tunabarikiwa sana kwa neno la mungu unalo tuletea hakikamaisha yetu mungu akupe afia njema kila siku pamoja na familiya yako. 1
  • @
    @hellenratemo28133 years ago Nice message keep it up, i have learned many things from ur sermon pastor, god bless you. 3
  • @
    @catherinehenryameeen59772 years ago Amen. Asante mungu kwa ajiri ya mchungaji mbanga. 1
  • @
    @lenahasantemchungajiauko88115 years ago Amina mchungaji nabarikiwa sana. Naomba ubarikiwe kwanza ndo ni fwatie nami. 3
  • @
    @pauloropian30935 years ago Thanks uwepo wa mungu hukaa juu ya sifa " may god bless all " 3
  • @
    @selfaakinyi78244 years ago Eeeh mungu wangu, nijalie macho ya rohoni. 2
  • @
    @mn94845 years ago Ni katika roho! Kila siku najifunza zaidi kumsikiliza mungu hatua kwa hatua. Mungu akubariki mchungaji, hapa usa grace. 1
  • @
    @maryosoro54974 years ago Really mchungaji huwa unanibariki sana na mahubiri yako. 1
  • @
    @sdawalokole94895 years ago Amen, mungu ni roho na sisi ni roho pia. 2
  • @
    @roselele3415 years ago Amina unanifungua kila siku nazidi kuwa na imani asnt mchungaji mungu akubaliki sana. 1
  • @
    @franksikombe98605 years ago Tumebarikiwa sana huduma yenu mungu awape uvumilivu muimbe hadi mbinguni by frank sikombe-katavi. 1
  • @
    @maureenjovial60834 years ago Amina asante mchungaji nimepata kuchua mungu n nani. Naomba uongozo wa roho mtakatifu aniwezeshe niskie sauti ya mungu.
  • @
    @petromabagala91865 years ago Hii kwaya huwa inanivuta karibu sana na mungu. Mungu akubariki sana pr mmbaga.
  • @
    @cutestpuppies66325 years ago Kila maraninabarikiwa na kufunuliwa ukweli mpya, mungu akubariki sana pastor.
  • @
    @janehlwjn99824 years ago Asante kwa mahubiri yako nabarikiwa sana nkiwa saudi arabia napenda sana mafundisho yako pr ubariwe sana.
  • @
    @kbsclips65155 years ago Mchungaji nabarikiwa sana, mkale uk hapa.
  • @
    @keziaranga63294 years ago Paster ninabrikiwa sana na masomo yako umenifungua sana macho ya rohini.
  • @
    @barakachongera97053 years ago Hakika nimejua vitu vya thamani thana"
  • @
    @amoszacharia69095 years ago Hakika mchungaji masomo yako yananibarikisana nami natumia fursa hii kuwambia watu ile nuru ninayopata kupitia masomo yako.
  • @
    @fredmselle22273 years ago Naomba kujua km hicho kitabu kipo moshi.
  • @
    @daudnyore46964 years ago I hope one day i will talk, with you man of. God, may the peace of god that passes all. Understanding keep you by the grace of god. 2
  • @
    @rehemaisaack17282 years ago Hili somo sehemu ya pili yake inayofata naipata wapi nimetafuta humu nimekosa.
  • @
    @charleskaselya77445 years ago Habari mm sijaelewa hubiri la umiliki, nilikuwa nalisikiliza usiku baadaye nimeikuta inaniambia video hii ni private na naisearch haipo mmeifuta? 1
  • @
    @daviddotto3275 years ago Mungu awabariki sana waimbaji wa kwaya hii ya sauti ya jangwani kutoka shinyanga ushirika. 1
  • @
    @patrickemmanuelemmanuel93544 years ago Ubarikiwe mtumishi wa mungu ninawezaje kupata kitabu chako cha namna ya kusikia sauti ya mungu mm niko sumbawanga namba zangu za simu ni 0757392906 lkn . ...Expand
  • @
    @laithvayinga11225 years ago Mchungaji naomba nambaako ninashida. Nashukuru kwa masomo.
  • @
    @rosepeter89964 years ago Amenmchugaji mmbaga ninalo swali, sasa nimesikiza mahubiri yaki yakaniguza kweli, hivi ikiwa mimi nim catholic, na sali kwa rosary, ama kwa kanisa kuna il . ...Expand
  • @
    @hondenisonmagufulinyabaro39235 years ago Hii kwaya gani please?
    niambie naomba tu.
    1
  • @
    @elishashillah97765 years ago Hili somo natamani Sana, Kulipata lote, Jamani, naomba nisaidiwe kulipita! Naomba Kama unaweza nitumia ktk Email ni
    elishashillah139@ class="buttons"> au WhatsApp Number 0767522247
    Nisaidie sana
    ..
    ...Expand 1
  • @
    @erickmahindu91984 years ago Our father in heaven, means? He' s a male.
  • @
    @roselele3415 years ago Uku sijayajua makanisa yp ila sijui yapo wapi.