Duration 2:38

Wananchi wataka huduma za kibingwa na rufaa Iringa

124 watched
0
0
Published 8 Jun 2023

Hospitali ya rufaa ya mkoa wa Iringa inakabiliwa ukosefu na madaktari bingwa wa magonjwa ya mifupa, upasuaji, njia ya mkojo pamoja na moja na kisukari hali inayosababisha wagonjwa kutumia gharama kubwa kusafiri kwenda katika hospitali kubwa zilizopo Dodoma na Dar es salaam au hata nje ya nchi. #AzamTVUpdates #AzamNews #AdhuhuriLive #MatibabuIringa

Category

Show more

Comments - 0