Duration 1:46:12

KURASA ZA MWISHO : Robo fainali ASFC; Azam, Ndanda, Namungo zapewa nafasi

925 watched
0
5
Published 31 May 2020

Baada ya droo ya robo fainali kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports, wadau mbalimbali wametoa maoni kupitia kurasa za magazeti wakitaja timu zenye nafasi kubwa ya kupenya. Hapa utawasikiliza Philip Cyprian akiwa na Elius Kambili, Ally Kamwe, Alfred Lasteck na Andrew Kingamkono wakifanya uchambuzi. Pia utamsikia kocha wa Ndanda SC Abdul Mingange ambaye amezungumzia pia mfumo wa ligi kuchezwa kwenye kituo kimoja. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Category

Show more

Comments - 2